TANGAZO

Friday, October 19, 2012

Rais Dk. Shein awapatanisha wananchi wa vijiji vya Chwaka na Marumbi Kusini Unguja

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Ali Mohamed Shein, akisalimiana na Waziri wa Mifugo na Uvuvi, Abdilah Jihadi Hassan pamoja na Viongozi wengine alipowasili katika viwanja vya Shule ya Chwaka, kuzungumza na wananchi hao kuhusu mzozo wa uvuvi na ndugu zao wa kijiji cha Marumbi jana, ambapo aliwaomba  wananchi hao   kuondoa tofauti zao.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Ali Mohamed Shein, akisalimiana na Balozi Ali Karume pamoja na viongozi wengine, alipowasili katika viwanja vya Shule ya Chwaka, Mkoa wa Kusini Unguja jana, kuzungumza na wananchi hao kuhusu mzozo wa uvuvi na ndugu zao wa kijiji cha Marumbi, ambapo  aliwaomba
wananchi hao, kuondosha tofauti zao.

Baadhi ya viongozi na wazee walioufuatana  na  Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Ali Mohamed Shein, wakati alipofanya mazungumzo na  wananchi wa kijiji cha Chwaka jana, kuhusu mzozo wa uvuvi na ndugu zao wa kijiji cha Marumbi, ambapo aliwaomba  wananchi hao, kuondosha tofauti zao.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Ali Mohamed Shein, akizungumza na wananchi wa kijiji cha Chwaka kuhusu mzozo wa uvuvi kwa wananchi hao na ndugu zao wa kijiji cha Marumbi, katika uwanja wa Shule ya kijiji hicho jana, ambapo pia aliwaomba kuwa kitu kimoja kuondosha tofauti zao.

Baadhi ya wananchi wa kijiji cha Chwaka, wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Ali Mohamed Shein, (hayupo pichani) alipokuwa akizungumza nao jana, alipofanya ziara maalum, kuhusu mzozo wao wa uvuvi na wananchi wa kijiji cha Marumbi, Mkoa wa Kusini Unguja.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Ali Mohamed Shein, akiwapungia mkono  wananchi wa kijiji cha Chwaka, kama ishara ya kuwaaga, baada ya kumaliza mazungumzo na wananchi hao, kuhusu mzozo wa uvuvi na ndugu zao wa kijiji cha Marumbi, katika uwanja wa Shule ya kijiji hicho jana, ambapo pia aliwaomba  kuwa kitu kimoja kuondosha tofauti zao.

No comments:

Post a Comment