Ali Khalil Mirza, Katibu Mkuu wa Wizara ya Ardhi, Makazi, Maji na Nishati.
Dk. Juma Malik Akili, Katibu Mkuu wa Wizara ya Miundombinu na Mawasiliano.
Mussa Haji Ali, Mkurugenzi Mkuu wa Taasisi ya Kuzuia Rushwa na Uhujumu wa Uchumi.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Ali Mohamed Shein, akimuapisha Dk. Juma Malik Akili kuwa Katibu Mkuu wa Wizara ya Miundombinu na Mawasiliano katika hafla iliyofanyika Ikulu, mjini Zanzibar leo. (Picha zote na Ramadhan Othman, IKULU)
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Ali Mohamed Shein, akimuapisha Ali Khalil Mirza, kuwa Katibu Mkuu wa Wizara ya Ardhi, Makazi, Maji na Nishati katika hafla iliyofanyika Ikulu, mjini Zanzibar leo.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Ali Mohamed Shein, akimuapisha Mussa Haji Ali kuwa Mkurugenzi Mkuu wa Taasisi ya Kuzuia Rushwa na Uhujumu wa Uchumi katika hafla iliyofanyika Ikulu, mjini Zanzibar leo.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Ali Mohamed Shein, (kushoto), akibadilishana mawazo na Makamo wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar, Maalim Seif Sharif Hamad (kulia) na Makamo wa Pili wa Rais wa Zanzibar, Balozi Seif Ali Iddi, baada ya kuwaapisha Makatibu Wakuu wapya wa Wizara mbali mbali na Mkurugenzi Mkuu wa Taasisi ya Kuzuia Rushwa Zanzibar katika hafla iliyofanyika Ikulu, mjini Zanzibar leo.
No comments:
Post a Comment