Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Ali Mohamed Shein (kulia), akisikiliza Ripoti ya Tume ya kuzama kwa Meli ya Mv. SKAGIT, iliyokuwa ikisomwa na Mwenyekiti wa Tume hiyo, Jaji Abdulhakim Ameir Issa, alipofika na ujumbe wa tume hiyo, Ikulu Mjini Zanzibar leo. (Picha zote na Ramadhan Othman, Ikulu)
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Ali Mohamed Shein (kulia), akipokea Ripoti ya Tume ya kuzama kwa meli ya Mv. SKAGIT, kutoka Mwenyekiti wa Tume ya kuchunguza ajali ya meli hiyo, Jaji Abdulhakim Ameir Issa, Ikulu Mjini Zanzibar leo.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Ali Mohamed Shein (kulia), alipokuwa akizungumza na wajumbe wa Tume ya kuzama kwa Meli ya Mv. SKAGIT, iliyoongozwa na Mwenyekiti wa Tume hiyo, Jaji Abdulhakim Ameir Issa, walipofika Ikulu Mjini Zanzibar leo.
No comments:
Post a Comment