Babylove Kalalaa kutoka Kanda ya Ziwa.
Happyness Rweyemamu kutoka Kanda ya Ziwa.
Rose Lucas kutoka Kanda ya Mashariki.
Anande Radhiel kutoka Kanda ya Kaskazini.
Vency Edward - Nyanda za Juu Kusini.
Waridi Frank kutoka Kanda ya Kaskazini.
Fatma Ramadhan kutoka Arusha.
Irene Veda kutoka Kanda ya Mashariki.
Noella Michael kutoka Ilala.
Karen Elias kutoka Nyanda za Juu Kusini.
Mary Chizi kutoka Ilala.
Lightness Michael wa Kanda ya Kati.
Belinda Mbogo wa Kanda ya Kati.
Warembo wa Redd's Miss Tanzania 2012,wakiwa katika picha ya pamoja katika kambi yao iliyopo kwenye hoteli ya Geraffe,Mbezi Beach jijini Dar es Salaam. Kambi hiyo ina jumla ya warembo 30 waliowasili katika maandalizi ya kuelekea shindano la fainali za Miss Tanzania 2012, ili kumpata Mrembo atakayemrithi,Salha Israel, ambaye anashikilia Taji hilo hivi Sasa, ambapo fainali za mwaka huu zinatarajia kufanyika Novemba 3, katika hoteli ya Blue Peal,Ubungo Plaza jijini Dar.
Warembo wakijiachia kuelekea kupata menu
Wrembo wakitembea kwa madaha wakati wa mazoezi yao hayo, Hoteli ya Giraffe
| Warembo wakipozi kwa picha wakati wa mazoezi yao hayo leo. |
Mwakilishi wa Kanda ya Kati, Lightness Michael (kushoto) akiwa na Irene Mwakilishi wa Kanda ya Mashariki. (Picha zote na Kassim Mbarouk)




No comments:
Post a Comment