TANGAZO


Wednesday, October 10, 2012

Matukio mbalimbali kutoka mikutano ya World Bank nchini Japan


Gavana wa Benki Kuu, Profes Benno Ndulu akisikiliza kwa makini mkutano wa IMF  pamoja na Maofisa Waandamizi,  Omary Khama na  Msafiri Nampesya, jijini Tokyo – Japan. (Picha na Scola Malinga)
Waziri wa Fedha, William Mgimwa akitoa maelekezo kwa Msemaji wa Wizara ya Fedha Bi. Ingiahedi Mduma, Kamishina Msaidizi wa Fedha za Nje  Jerome Bureta na Afisa Mwandamizi, Omary Khama, jijini Tokyo-Japan.
Waziri wa Fedha, William Mgimwa akiongoza mkutano wa wananchama  wa kundi la kwanza la Afrika katika mkutano wa IMF, jijini Tokyo-Japan.
Waziri wa Fedha, William Mgimwa, akiwa na Maofisa Waandamizi wa Wizara ya Fedha, Omary Khama na Cyprian Kuyava, jijini Tokyo – Japan.
Waziri wa Fedha, Mgimwa akitoka kwenye mkutano na ujumbe alioambatana nao katika mikutano ya Shirika la Kimataifa la Fedha duniani (IMF),  jijini Tokyo- Japan.
Waziri wa Fedha, William Mgimwa akijadiliana na Kamishna Mkuu wa Mamlaka ya Mapato Tanzania, Harry Kitilya,  Mkurugenzi Utafiti Uchumi na Sera, Dk. Joseph Masawe wa Benki Kuu ya Tanzania, Ofisa Mwandamizi,  Omary Khama na Cyprian Kuyava wa Wizara ya Fedha, baada ya mikutano hiyo ya IMF kwa siku ya leo,  jijini Tokyo- Japan.
Waziri wa Fedha, William Mgimwa, akiwa na mtangazaji wa Shirika la NHK-SWAHILI, Bi Anna Kwamba.  Awali alikuwa (TBC), baada ya kumaliza mahojiano na  Waziri juu ya faida za mikutano ya IMF kwa wananchi wa Tanzania,  jijini Tokyo – Japan.

No comments:

Post a Comment