TANGAZO


Tuesday, October 23, 2012

Matina Nkurlu wa Vodacom afunga ndoa na Rachel Sindbard

 Martina Nkurlu akipozi kwa picha na mkewe, Rachel Sindbard.
Hapa maharusi hao wakitoa Pozi la nguvu
 Matina Nkurlu na mkewe Rachel Sindbard, wakielekea ukumbini katika sherehe yao ya ndoa.

 Matina na Rachel, wakitoka Kanisani mara baada ya kufunga ndoa yao katika Kanisa la KKT Mbezi Beach jijini Dar es Salaa mwishoni mwa wiki.

 Mchungaji naye akimwaga wino, akishuhudiwa na wapambe Deus Ntukamazina na Noela Ntukamazina.

 Matina Nkurlu akisaini cheti cha ndoa yao, huku mkewe, akihakiki kweli mumewe anaweka saini kwenye hati hiyo ya ndoa.

 Hapa ndugu, marafiki pamoja na mwenyewe Matina Nkurlu (wa pili kushoto), wakimbeba Bi. Harusi Rachel Sindbard. Ilikuwa ni furaha na rahatupu.

 Bi. Harusi akiwa na shemeji yake, Masala mwenye miwani  na wifi yake Nzigia

 Wakiwa katika picha ya pamoja na maids wao.

 Picha ya pamoja ya wanafamilia wa pande zote mbili z bwana na bibi harusi, mara baada ya kufunga ndoa yao. (Picha zote kwa hisani ya Matina Nkurlu)

No comments:

Post a Comment