TANGAZO

Thursday, October 18, 2012

Maskani ya Kisonge Zanzibar yachomwa moto

 Miti na mawe ikiwa imewekwa kwenye barabara ya Bububu ili kuzuiya magari yasipite leo wakati wa maandamano ya vijana wa Kiislamu waliokuwa wakitaka kingozi wao aachiwe, Sheikh Faridi Ahmed. (Picha zote na Martin Kabemba)

Matairi yaliyochomwa na mawe kupangwa barabarani kwa ajili ya kuzuiya magari ya askari yasipite kwenye eneo hilo.

 Mawe yakiwa yamepangwa barabarani eneo la Darajani leo kuzuiya magari ya Polisi yasipite kwenye eneo hilo.

Magari yakipita kwa shida kutokana na kupangwa matawi ya miti na mawe maeneo ya Darajani.

Matawi ya miti yakiwa yamekatwa na kupangwa maeneo ya Darajani Mjini Unguja kwenye barabara Darajani.

Askari Polisi na FFU, wakilinda kituo cha Polisi Mkunazini ambacho kilichomwa moto jana.

 Gari lililochomwa moto kipindi kilichopita limewekwa barabarani hapo Michenzani, mjini Zanzibar leo.

Mawe yakiwa yamelundikwa barabarani, eneo la Kisonge Michenzani kiasi cha sababisha usumbufu kwa magari, waendesha pikipiki na baiskeli.

 Kisonge Maskani baada ya kuchomwa moto na watu wasiojulikana jana.

 Vespa iliyochomwa jana kwenye maeneo ya Kisonge Maskani, mjini Unguja, baada ya kutokea vurugu kati ya Waislamu na Polisi mjini Zanzibar jana.

Mali iliyochomwa moto ndani ya Maskani Kisonge.

Wafanyakazi wa Kikosi cha Zima Moto wakijitahidi kuuzima moto uliokuwa ukiwaka ndani ya Jengo la Maskani ya kisonge lililochomwa moto na watu wanaodaiwa ni wafuasi wa Sheikh Faridi wakishinikiza kuachiwa kwa Sheikh wao, huyo ambaye wanadhani amekamatwa na Polisi baada ya kutomuana kwa siku nzima jana. Jeshi la Polisi limekanusha kumkamata Sheikh huyo na kuwaomba wananchi kushirikiana kumtafuta. (Picha zote na Yussuf Simai-Maelezo Zanzibar)

Wafanyakazi wa Kikosi cha Zima Moto wakijitahidi kuuzima moto uliokuwa ukiwaka ndani ya Jengo la Maskani ya kisonge lililochomwa moto na watu wanaodaiwa ni wafuasi wa Sheikh Faridi wakishinikiza kuachiwa kwa Sheikh wao, huyo ambaye wanadhani amekamatwa na Polisi baada ya kutomuana kwa siku nzima jana. Jeshi la Polisi limekanusha kumkamata Sheikh huyo na kuwaomba wananchi kushirikiana kumtafuta.

Hali ya jengo la Maskani ya Kisonge linavyoonekana baada ya wafanyakazi wa Kikosi cha Zima Moto kuuzima moto uliokuwa ukiwaka ndani ya Jengo la Maskani hiyo, lililochomwa moto na watu wanaodaiwa ni wafuasi wa Sheikh Faridi wakishinikiza kuachiwa kwa Sheikh wao, huyo ambaye wanadhani amekamatwa na Polisi baada ya kutomuana kwa siku nzima jana. Jeshi la Polisi limekanusha kumkamata Sheikh huyo na kuwaomba wananchi kushirikiana kumtafuta.

Wananchi mbalimbali wakishuhudia Maskani ya CCM ya Kisonge, ilivyokuwa ikiwaka moto huku Kikosi Maalum cha Zima Moto wakijitahidi kuuzima moto huo Usiathiri sehemu nyengine.

Tukio la kuchomwa Moto Maskani ya CCM Kisonge limesababisha pia mali na baadhi ya Vyombo vilivyokua hapo kuteketea kwa Moto kama inavyoonekana hapa Vespa iliyowekwa eneo hilo ambayo mmiliki wake hajajulikana ikiteketea.

Jeshi la Polisi lilionekana likifanya Doria katika sehemu hiyo, ili kuweka hali ya Usalama. (Picha zote na Yussuf Simai-Maelezo Zanzibar)

No comments:

Post a Comment