TANGAZO


Friday, October 12, 2012

KMKM yaifunga Mtende Ligi Kuu Zanzibar

Heka heka kwenye lango la timu ya KMKM, wachezaji wakiwania mpira, wakati timu hiyo ilipopambana na Mtende katika pambano la Ligi Kuu ya Grand Malt, Uwanja wa Amani, mjini Zanzibar leo KMKM ilishinda mabao 2 - 1. (Picha zote na Martin Kabemba)

Wachezaji Ali Manzi (kulia) wa timu ya Mtende  na Aziz Aziz wa timu ya KMKM  wakiwania kuuwahi mpira wa juu katika mchezo huo. 


 Kipa wa KMKM, Ali Abdi akidaka mpira.


Mlinzi wa KMKM, Aziz Aziz (13), akiondosha hatari langoni kwake huku akizongwa na mchezaji wa Mtende.



Aziz Aziz wa KMKM (13) na Moses Peter (10) wa Mtende wakiwania mpira wa kichwa wakati wa mchezo huo, Uwanja wa Amaan, Mjini Zanzibar.

No comments:

Post a Comment