Katibu Mkuu wa Chama cha Wapangaji Tanzania (TTA), Ndumey Mukama, akizungumza na waandishi wa habari, Dar es Salaam leo, wakati uongozi wa chama hicho, ulipokuwa ukizungumzia masuala mbalimbali yahusuyo wapangaji na wapangishaji wa nyumba, ikiwemo kulitaka Shirika la Nyumba la Taifa (NHC), kutoziuza nyumba zake kwa wapangaji. Kushoto ni Mwenyekiti wake, Martin Luhende na kulia ni Makamu Mwenyekiti wa TTA, Bernadetha Mkandya.
Katibu Mkuu wa Chama cha Wapangaji Tanzania (TTA), Ndumey Mukama, akifafanua jambo kwa waandishi wa habari, Dar es Salaam leo, wakati uongozi wa chama hicho, ulipokuwa ukizungumzia masuala mbalimbali yahusuyo wapangaji na wapangishaji wa nyumba, ikiwemo kulitaka Shirika la Nyumba la Taifa (NHC), kutoziuza nyumba zake kwa wapangaji. Kushoto ni Mwenyekiti wake, Martin Luhende na kulia ni Makamu Mwenyekiti wa TTA, Bernadetha Mkandya.
Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Wapangaji Tanzania (TTA), Bernadetha Mkandya, akijibu maswali ya waandishi wa habari, Dar es Salaam leo, wakati uongozi wa chama hicho, ulipozungumza nao kuhusu masuala mbalimbali yahusuyo wapangaji na wapangishaji wa nyumba, ikiwemo kulitaka Shirika la Nyumba la Taifa (NHC), kutoziuza nyumba zake kwa wapangaji. Kushoto ni Mwenyekiti wa chama hicho, Martin Luhende na katikati ni Katibu Mkuu wake, Ndumey Mukama.
Katibu Mwenezi wa TTA, Simon Kwezi (kushoto), akifafanua jambo kwa waandishi wa habari, Dar es Salaam leo, wakati uongozi wa chama hicho, ulipozungumza nao, kuhusu masuala mbalimbali yahusuyo wapangaji na wapangishaji wa nyumba, ikiwemo kulitaka Shirika la Nyumba la Taifa (NHC), kutoziuza nyumba zake kwa wapangaji. Wa pili ni Mwenyekiti wa chama hicho, Martin Luhende, Katibu Mkuu wake, Ndumey Mukama na Makamu Mwenyekiti, Bernadetha Mkandya.






No comments:
Post a Comment