
Meneja wa NMB Kanda ya Ziwa, Straton Chilongola akiwasalimia wanafunzi wa Shule ya Msingi Sota iliyopo Rorya mkoani Mara, baada ya kuwakabidhi madawati, meza pamoja na viti vyenye thamani ya shilingi milioni tano.

Meneja wa NMB Kanda ya Ziwa, Straton Chilongola (kushoto), akikabidhi moja ya madawati 50 yenye thamani ya shilingi milioni 5 kwa Mkuu wa Shule ya Msingi Muungano, Maswali Buyunge ikiwa ni sehemu ya msaada uliotolewa na NMB kwa shule hiyo.
Wanafunzi wa Shule ya Msingi Muungano iliyopo kijijini Kirejeshi, Wilaya ya Busega mkoani Simiyu, wakiwa wameketi katika baadhi ya madawat 50 waliyokabidhiwa na benki ya NMB ikiwa ni msaada wa benki ya NMB kwa shule hiyo.
Meneja wa benki ya NMB Rorya, Penina Kiranga ( katikati), akikabidhi vifaa ikiwa ni sehemu ya madawati 50, meza 19 pamoja na viti 19 vyenye thamani ya shilingi 5 milioni kwa Mwalimu Mkuu wa Shule ya Msingi Sota, Bw. Steven Dhaje (wa pili kushoto) iliyopo Rorya, Mara. Wakishuhudia tukio hilo ni Meneja wa NMB Kanda ya Ziwa, Straton Chilongola (kulia), Afisa wa benki na Mwalimu wa Shule hiyo.

Meneja wa NMB Kanda ya Ziwa, Straton Chilongola (kushoto), akikabidhi moja ya madawati 100 yaliyotolewa na NMB yenye thamani ya shilingi milioni 5 kwa Afisa Elimu wa wilaya ya Busega, Mwita Chogoro kwa ajili ya Shule za Msingi Muungano, Nyamatembe na Mwamkinga ikiwa ni msaada uliyotolewa na benki ya NMB.

No comments:
Post a Comment