Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Ali Mohamed Shein, akifuatana na Balozi wa Vatican nchini Tanzania, Francisco Mantecillo Padilla, alipofika Ikulu Mjini Zanzibar kujitambulisha kwa Rais leo.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Ali Mohamed Shein, akisalimiana na Balozi wa Vatican nchini Tanzania, Francisco Mantecillo Padilla, alipofika Ikulu Mjini Zanzibar kujitambulisha kwa Rais leo. (Picha na Ramadhan
Othman, Ikulu)



No comments:
Post a Comment