TANGAZO


Saturday, September 29, 2012

Rais Kikwete aonana na ujumbe wa MWAPORC Ikulu jijini Dar es Salaam

Rais Jakaya Mrisho Kikwete, akiuonesha njia za reli katika  ramani ya Tanzania ujumbe toka Kampuni ya Mwambani Port and Railway Corridor Company (MWAPORC) uliomtembelea leo, Septemba 29, 2012, Ikulu jijini Dar es Salaam kumweleza nia yao ya kutaka kuwekeza katika sekta ya reli.

Rais Jakaya Mrisho Kikwete (kulia) akizungumza na ujumbe toka Kampuni ya Mwambani Port and Railway Corridor Company (MWAPORC), uliomtembelea Ikulu jijini Dar es Salaam leo, Septemba 29, 2012, kumweleza nia yao ya kutaka kuwekeza katika sekta ya reli. (Picha zote na Ikulu)

No comments:

Post a Comment