Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akiwasalimia wananchi wa kijiji cha Haubi, wilayani Kondoa akiwa njiani kuelekea kwenye chanzo cha maji cha Ntomoko wilayani humo jana, Agust 12, 2012. (Picha zote na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akikagua chanzo cha maji cha Ntomoko wilayani Kondoa, akiwa katika ziara ya siku mbili wilayani humo jana, Agust 12, 2012. Kushoto ni Naibu Waziri wa Maji, Dk. Benilith Mahenge na kulia ni Mkuu wa Mkoa wa Dodoma, Dk. Rehema Nchimbi.
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda, akizungumza na Diwani wa Kata ya Haudu, wilayani Kondoa, Gaspar Mwendu baada ya kuzungumza na wananchi wa kijiji cha Ntomoko wakati alipokuwa akikagua chanzo chao cha maji jana, Agust 12, 2012.
No comments:
Post a Comment