TANGAZO


Wednesday, August 22, 2012

Waziri Kagasheki ahudhuria mkutano wa 9 wa Sullivan, Equatorial Guinea

 Waziri wa Maliasili na Utalii, Balozi Khamis Kagasheki (kushoto), akijadiliana jambo na Rais mstaafu wa Nigeria, Jenerali Olusegun Obasanjo, mjini Malabo, Equatorial Guinea ambako wanahudhuria mkutano wa Tisa wa Sullivan, unaojadili masuala mbalimbali yanayohusu maendeleo ya Bara la Afrika. (Picha zote na Pascal Shelutete)

Waziri wa Maliasili na Utalii, Balozi Khamis Kagasheki (kushoto), akiagana  na Rais mstaafu wa Nigeria, Jenerali Olusegun Obasanjo, baada ya kukutana mjini Malabo, Equatorial Guinea, walikohudhuria mkutano wa Tisa wa Sullivan, unaojadili masuala mbalimbali yanayohusu maendeleo ya Bara la Afrika. 

No comments:

Post a Comment