Waislamu wapingana kuhusu kususia zoezi la Sensa nchini, Sheikh Ponda akataa, wenzake wakubali
Imam wa Msikiti wa Mtambani, Sheikh Suleiman Juma, akiwakaribisha wageni pamoja na waandishi wa habari wakati alipokuwa akiufungua mkutano wa Jumuiya na Taasisi za Kiislamu Tanzania, Dar es Salaam leo kuhusu Waislamu kususia zoezi la Sensa nchini. (Picha zote na Kassim Mbarouk)
Katibu wa Jumuiya na Taasisi za Kiislamu Tanzania, Sheikh Ponda Issa Ponda, akisoma tamko la Jumiya hiyo, mbele ya waandishi wa habari, Dar es Salaam leo, kuhusu uamuzi wao wa kususia zoezi la Sensa ya Watu na Makazi, linalofanyika keshokutwa, Agost 26 nchini kote. Wengine kutoka kulia ni Rais wa Jumuiya ya Wanafunzi na Vijana wa Kiislamu Tanzania (TAMSYA), Jafar Mneke, Mjumbe kutoka taasisi ya Almalid, Amani Mushi, Kiongozi wa taasisi hiyo, Rajab Katimba na kushoto ni Mwenyekiti wa Baraza la Vijana wa Kiislamu Tanzania, Ustaadhi Shaaban Mapeyo.

Katibu wa Jumuiya na Taasisi za Kiislamu Tanzania, Sheikh Ponda Issa Ponda, akisoma tamko la Jumiya hiyo, mbele ya waandishi wa habari, Dar es Salaam leo, kuhusu uamuzi wao wa kususia zoezi la Sensa ya Watu na Makazi, linalofanyika keshokutwa, Agost 26 nchini kote. Wengine, kulia ni Rais wa Jumuiya ya Wanafunzi na Vijana wa Kiislamu Tanzania (TAMSYA), Jafar Mneke na kushoto ni Mwenyekiti wa Baraza la Vijana wa Kiislamu Tanzania, Ustaadhi Shaaban Mapeyo.
Katibu wa Jumuiya na Taasisi za Kiislamu Tanzania, Sheikh Ponda Issa Ponda, akisoma tamko la Jumiya hiyo, mbele ya waandishi wa habari, Dar es Salaam leo, kuhusu uamuzi wao wa kususia zoezi la Sensa ya Watu na Makazi, linalofanyika keshokutwa, Agost 26 nchini kote. Wengine kutoka kulia ni Rais wa Jumuiya ya Wanafunzi na Vijana wa Kiislamu Tanzania (TAMSYA), Jafar Mneke, Mjumbe kutoka taasisi ya Almalid, Amani Mushi na Kiongozi wa taasisi hiyo, Rajab Katimba.
Baadhi ya wajumbe wa Jumuiya na Taasisi za Kiislamu Tanzania, wakimsikilia katibu wao, Sheikh Ponda Issa Ponda, wakati alipokuwa akisoma tamko la Jumiya, mbele ya waandishi wa habari, Dar es Salaam leo, kuhusu uamuzi wao wa kususia zoezi la Sensa ya Watu na Makazi, linalofanyika keshokutwa, Agost 26 nchini kote.
Baadhi ya wajumbe wa Jumuiya na Taasisi za Kiislamu Tanzania, wakimsikilia katibu wao, Sheikh Ponda Issa Ponda, wakati alipokuwa akisoma tamko la Jumiya, mbele ya waandishi wa habari, Dar es Salaam leo, kuhusu uamuzi wao wa kususia zoezi la Sensa ya Watu na Makazi, linalofanyika keshokutwa, Agost 26 nchini kote.
Baadhi ya waandishi wa habari, wakimsikiliza Katibu wa Jumuiya na Taasisi za Kiislamu Tanzania, Sheikh Ponda Issa Ponda, wakati alipokuwa akisoma mbele yao, tamko la Jumiya hiyo, mbele, Dar es Salaam leo, kuhusu uamuzi wao wa kususia zoezi la Sensa ya Watu na Makazi, linalofanyika keshokutwa, Agost 26 nchini kote.
Kiongozi wa taasisi ya Almalid, Rajab Katimba, akiwaonesha waandishi wa habari, moja ya vipeperushi walivyovisambaza, ikiwa ni majibu kwa waislamu wakati makarani wa Sensa watakapofika kwenye nyumba zao keshokutwa, Agost 26 kwa zoezi hilo. Kushoto ni Katibu wa Jumuiya na Taasisi za Kiislamu Tanzania, Sheikh Ponda Issa Ponda, aliyesoma tamko la Jumuiya hizo, kuhusu kuwataka waislamu kususia sensa.
Mwenyekiti wa Taasisi ya Tanzania Islamic Peace Foundation (IPF), Sadiki Godigodi, akizungumza na waandishi wa habari, Dar es Salaam leo, wakati alipokuwa akiwahimiza Waislamu kujitokeza kuhesabiwa katika zoezi la Sensa keshokutwa Agosti 26, 2012 nchini kote.
Mwenyekiti wa Taasisi ya Tanzania Islamic Peace Foundation (IPF), Sadiki Godigodi, akizungumza na waandishi wa habari, Dar es Salaam leo, wakati alipokuwa akiwahimiza Waislamu kujitokeza kuhesabiwa katika zoezi la Sensa litakalofanyika keshokutwa, Agosti 26, 2012 nchini kote. Kushoto ni Mhadhiri wa Tasisi ya Mihadhara ya Kiislamu ya Almalid, Athman Kadogoo 'Rwambo'.
Mhadhiri wa Tasisi ya Mihadhara ya Kiislamu ya Almalid, Athman Kadogoo 'Rwambo', akifafanua jambo kwa wanaandishi wa habari, Dar es Salaam leo, wakati viongozi wa taasisi za Tanzania Islamic Peace Foundation (IPF) na Jumuiya za Taasisi na Mabaraza ya Kiislamu Tanzania, walipokuwa wakitoa wito wa kuwataka waislamu wote nchini washiriki katika zoezi la kuhesabiwa (sensa), linalofanyika keshokutwa nchini kote. Katikati ni Mwenyekiti wa IPF, Sadiki Godigodi na kulia ni Katibu wake, Adam Kikwaju.
No comments:
Post a Comment