TANGAZO


Tuesday, August 14, 2012

Rashid Matumla, Maneno Oswald wakunjiana ngumi

Mabondia Maneno Oswald (kushoto) na Rashidi Matumla, wakikunjiana ngumi wakati wa kutambulisha mpambano wao, Dar es Salaam leo, utakaofanyika siku ya Idi Pili, ukumbi wa Dar Live, Mbagala jijini Dar es Salaam. (Picha zote na Super D, Mnyamwezi)

 Mabondia Maneno Oswald (kushoto) na Rashidi Matumla, wakipangiana ngumi wakati wa kutambulisha mpambano wao, Dar es Salaam leo, utakaofanyika siku ya Idi Pili, ukumbi wa Dar Live, Mbagala jijini Dar es Salaam. (Picha zote na Super D, Mnyamwezi)


Promota wa mchezo wa masumbwi, Kaike Siraju (katikati), akiwainua mikono mabondia Maneno Oswald (kushoto) na Rashidi Matumla, wakati wa kutambulisha mpambano wao utakaofanyika siku ya Idi Pili katika ukumbi wa Dar Live. (Picha zote na Super D, Mnyamwezi)

No comments:

Post a Comment