Daladala lililoigonga Pikipiki na kusababisha kifo cha mwendeshaji wake, aliyekuwa amempakia abiria kwenye pikipiki hiyo, likifungwa mnyoro kwenye gari la Breakdown kwa ajili ya kuondolewa eneo la ajali, makutano ya barabara za Chang'ombe, Kawawa na Pugu (machinjioni), Dar es Salaam leo mchana. (Picha zote na Kassim Mbarouk)
Wananchi wakiliangalia daladala lililoigonga Pikipiki na kusababisha kifo cha mwendeshaji wake, aliyekuwa amempakia abiria, maeneo ya makutano ya barabara za Chang'ombe, Kawawa na Pugu (machinjioni), Dar es Salaam leo mchana.
Wananchi wakiangalia daladala linalofanya safari zake kati ya Temeke na Mwenge, jijini Dar es Salaam, lililokuwa limeigonga na kuikanyaga pikipiki na kusababisha kifo cha mwendeshaji wake, maeneo ya makutano ya barabara za Kawawa, Chang'ombe na Pugu (machinjioni), Dar es Salaam leo.
Pikipiki iliyokuwa imegongwa na daladala linalofanya safari zake kati ya Temeke na Mwenge ikiwa imeingia kwenye mvungu wa daladala hilo baada ya kugongwa na kusababisha kifo cha mwendeshaji wake, maeneo ya makutano ya barabara za Kawawa, Chang'ombe na Pugu (machinjioni), Dar es Salaam leo.
Wananchi wakioneshana jambo wakati wakiangalia daladala linalofanya safari zake kati ya Temeke na Mwenge lililokuwa limeigonga na kuikanyaga pikipiki na kusababisha kifo cha mwendeshaji wake, maeneo ya makutano ya barabara za Kawawa, Chang'ombe na Pugu (machinjioni), Dar es Salaam leo.
Askari pamoja na wananchi wakiangalia daladala linalofanya safari zake kati ya Temeke na Mwenge lililokuwa limeigonga na kuikanyaga pikipiki na kusababisha kifo cha mwendeshaji wake, maeneo ya makutano ya barabara za Kawawa, Chang'ombe na Pugu (machinjioni), Dar es Salaam leo.
Askari pamoja na wananchi wakiangalia ajali hiyo, iliyotokea makutano ya barabara za Kawawa, Chang'ombe na Pugu (machinjioni), Dar es Salaam leo.
Askari wa kikosi maalum cha kupambana na ujambazi, akiangalia ndani ya daladala lililoigonga pikipiki na kusababisha kifo cha mwendeshaji wake, maeneo ya makutano ya barabara za Kawawa, Chang'ombe na Pugu (machinjioni), Dar es Salaam leo.
Askari pamoja na wananchi wakiliangalia daladala hilo, linalofanya safari zake kati ya Temeke na Mwenge lililokuwa limeigonga na kuikanyaga pikipiki na kusababisha kifo cha mwendeshaji wake, maeneo ya makutano ya barabara za Kawawa, Chang'ombe na Pugu (machinjioni), Dar es Salaam leo.
Askari pamoja na wananchi wakiwa katika eneo la ajali hiyo, maeneo ya makutano ya barabara za Kawawa, Chang'ombe na Pugu (machinjioni), Dar es Salaam leo.
No comments:
Post a Comment