TANGAZO


Saturday, June 16, 2012

Mnadhimu mkuu wa Jeshi la wananchin (JWTZ), Bungeni Dodoma



Mnadhimu Mkuu wa Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ), Luteni Jenerali Abdulrahman Shimbo (kulia), akisalimiana na Mbunge wa Jimbo la Wawi kisiwani Pemba, Hamad Rashid Mohamed (kushoto), katika Viwanja vya Bunge Mjini Dodoma leo, wakati alipowasili katika Ukumbi kwa ajili ya kufuatilia Bajeti ya Serikali ya 2012/13. (Picha zote na Tiganya Vincent-MAELEZO_Dodoma)
Mnadhimu Mkuu wa Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) Luteni Jenerali Abdulrahman Shimbo (kulia), akisalimiana na Mbunge wa Simanjiro, Christopher Ole Sendeka (kushoto) leo katika Viwanja vya Bunge Mjini Dodoma wakati alipowasili katika Ukumbi kwa ajili ya kufuatilia Bajeti ya Serikali ya 2012/13.

No comments:

Post a Comment