TANGAZO


Monday, June 4, 2012

Benki ya Posta Tanzania, UTT na Manispaa ya Bukoba zatangaza uuzaji viwanja

 Meya wa Mji wa Bukoba, Anatori Amani, akizungumza na waandishi wa habari, Dar es Salaam leo, wakati kwa pamoja, Manispaa ya Bukoba, Benki ya Posta Tanzania (TPB) na United Trust of Tanzania (UTT), walipokuwa wakitangaza uuzwaji wa viwanja vya ubia vya Taasisi zao kwa ajili ya makazi na biashara vilivyopo Manispaa ya Bukoba, ambavyo wananchi wataweza kujinunulia kupitia matawi ya benki ya TPB, popote nchini. Kushoto ni Mkurugenzi Mtendaji wa TPB, Sabasaba Moshingi. (Picha zote na Kassim Mbarouk)


 Meya wa Mji wa Bukoba, Anatori Amani, akifafanua jambo kwa waandishi wa habari, Dar es Salaam leo, wakati kwa pamoja, Manispaa ya Bukoba, Benki ya Posta Tanzania (TPB) na  United Trust of Tanzania (UTT), walipokuwa wakitangaza uuzwaji wa viwanja vya ubia vya Taasisi zao kwa ajili ya makazi na biashara, vilivyopo Manispaa ya Bukoba, ambavyo wananchi wataweza kujinunulia kupitia matawi ya benki hiyo, popote nchini. Kushoto ni Mkurugenzi Mtendaji wa TPB, Sabasaba Moshingi na kulia ni Mkurugenzi Mtendaji wa United Trust of Tanzania (UTT), Hamis Kibola.


.
Baadhi ya Maofisa wa Benki ya Posta Tanzania (TPB) na wa UTT, wakiwa kwenye mkutano huo na waandishi wa habari, kuhusu uuzwaji huo wa viwanja vya ubia, vinavyomilikiwa na  Taasisi hizo, viwanja vilivyopo, Manispaa ya Bukoba.

 Mkurugenzi Mtendaji wa United Trust of Tanzania (UTT), Hamis Kibola, akizungumza kwenye mkutano huo, ambao kwa pamoja UTT, Manispaa ya Bukoba na Benki ya Posta Tanzania (TPB), walitangaza uuzwaji wa viwanja vya ubia vya Taasisi zao kwa ajili ya makazi na biashara vilivyopo Manispaa ya Bukoba, ambavyo wananchi wataweza kujinunulia kupitia matawi ya benki hiyo, popote nchini. Kushoto ni Mkurugenzi Mtendaji wa TPB, Sabasaba Moshingi na Katikati ni Meya wa Mji wa Bukoba, Anatori Amani.


 Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya Posta Tanzania (TPB), Sabasaba Moshingi (kushoto), akizungumza na waandishi wa habari, Dar es Salaam leo, wakati kwa pamoja TPB, Manispaa ya Bukoba na United Trust of Tanzania (UTT), walipokuwa wakitangaza uuzwaji wa viwanja vya ubia vya Taasisi zao kwa ajili ya makazi na biashara vilivyopo Manispaa ya Bukoba, ambavyo wananchi wataweza kujinunulia kupitia matawi ya benki hiyo popote nchini.


 Meya wa Mji wa Bukoba, Anatori Amani, akifafanua jambo kwa waandishi wa habari, kwenye mkutano huo uliohusu uuzwaji wa viwanja hivyo vya ubia, vilivyopo Manispaa ya Bukoba.  


Mkurugenzi Mtendaji wa United Trust of Tanzania (UTT), Hamis Kibola, akijibu maswali ya waandishi wa habari, Dar es Salaam leo, wakati kwa pamoja, Manispaa ya Bukoba, Benki ya Posta Tanzania (TPB) na UTT, walikuwa wakitangaza uuzwaji wa viwanja vya ubia vya Taasisi zao kwa ajili ya makazi na biashara kwenye Manispaa ya Bukoba, ambavyo wananchi wataweza kujinunulia kupitia matawi ya benki hiyo popote nchini. Kushoto ni Mkurugenzi wa TPB, Sabasaba Moshingi na Katikati ni Meya wa Mji wa Bukoba, Anatori Amani.


Mkurugenzi wa Benki ya Posta Tanzania (TPB), Sabasaba Moshingi (kushoto), Meya wa Mji wa Bukoba, Anatori Amani (katikati) na Mkurugenzi Mtendaji wa United Trust of Tanzania (UTT), Hamis Kibola, wakishikana mikono kuonesha mshikamano wao, wakati walipokuwa wakitangaza mbele ya waandishi wa habari Dar es Salaam leo, uuzwaji wa viwanja vya mradi wa ubia wa Taasisi zao, vilivyopo Halimashauri ya Manispaa ya Bukoba, ambavyo vitauzwa kupitia matawi ya benki ya Posta Tanzania nchini kote. 

No comments:

Post a Comment