Naibu Katibu Mkuu wa Makazi ya Watoto wa Mitaani, wanaoishi katika mazingira hatarishi, 'New Hope Family Group', Jovin Joseph, akizungumza na waandishi wa habari, Dar es Salaam leo, kuhusu nia yao ya kutaka kukutana na kuzungumza na Rais Jakaya Kikwete, siku ya Maadhimisho ya Mtoto wa Afrika, Juni 16, 2012. Kushoto ni Mshauri wa Makazi hayo, Maiko Lugendo. (Picha zote na Kassim Mbarouk)
Baadhi ya waandishi wa habari, waliokuwepo kwenye ukumbi huo, wakimsikiliza mmoja wa viongozi wa vijana hao, wa 'New Hope Family Group', Naibu Katibu Mkuu, Jovin Joseph, wakati alipokuwa walipokuwa wakielezea nia yao ya kutaka kukutana na kuzungumza na Rais Jakaya Kikwete, siku ya Maadhimisho ya Mtoto wa Afrika, Juni 16, 2012.
Katibu wa watoto wanaoishi katika Makazi ya Watoto waliokuwa wa mitaani, waliokuwa wakiishi katika mazingira hatarishi, wa 'New Hope Family Group', Hashim Yussuf, akizungumza na waandishi wa habari, Dar es Salaam leo, wakati alipokuwa akielezea nia yao ya kutaka kukutana na kuzungumza na Rais Jakaya Kikwete, siku ya Maadhimisho ya Mtoto wa Afrika, Juni 16, 2012. Kushoto ni Naibu Katibu wake, Jovin Joseph na kulia ni Mwenyekiti, Omar Rajab.
Baadhi ya watoto wanaoishi katika Makazi ya Watoto waliokuwa wa mitaani, waliokuwa wakiishi katika mazingira hatarishi, 'New Hope Family Group', wakiwa katika mkutano na waandishi wa habari, Dar es Salaam leo, wakati walipokuwa wakielezea nia yao ya kutaka kukutana na kuzungumza na Rais Jakaya Kikwete, siku ya Maadhimisho ya Mtoto wa Afrika, Juni 16, 2012.
Mshauri wa Makazi hayo, Maiko Lugendo, akizungumza na waandishi wa habari, Dar es Salaam leo, wakati vijana hao wa kundi la 'New Hope Family Group', wakiwa katika mkutano na waandishi whabari, Dar es Salaam leo, wakati walipokuwa wakielezea nia yao ya kutaka kukutana na kuzungumza na Rais Jakaya Kikwete, siku ya Maadhimisho ya Mtoto wa Afrika, Juni 16, 2012. Kulia ni Naibu Katibu Mkuu wa Makazi hayo, Jovin Joseph.
Baadhi ya waandishi wa habari, waliokuwepo kwenye ukumbi huo, wakimsikiliza mmoja wa viongozi wa vijana hao, 'New Hope Family Group', wakati alipokuwa walipokuwa wakielezea nia yao ya kutaka kukutana na kuzungumza na Rais Jakaya Kikwete, siku ya Maadhimisho ya Mtoto wa Afrika, Juni 16, 2012. (Picha zote na Kassim Mbarouk)







No comments:
Post a Comment