| Naibu Waziri Makamba (kulia) akimsikiliza Mhandisi wa TCRA, Ikuja Jumanne wakati aliokuwa akioneshwa kifaa cha kupimia masafaa ya Radio na Televisheni, alipotembelea Mamlaka hiyo. |
| Ofisa Habari wa TCRA, Doris akiwa na wafanyakazi wenzake wakifuatilia kwa makini hotuba ya Naibu Waziri Makamba, alipokuwa akiongea na wafanyakazi wa Mamlaka hiyo jijini leo. |

No comments:
Post a Comment