Baadhi ya Viongozi wa mchezo wa Pool, Mkoa wa Iringa, wakiwa pamoja na wahamasishaji wa mchezo huo wa Mkoa wa Iringa leo. (Picha na Supe D, Mnyamwezi, Iringa)
Naibu Meya wa Mkoa wa Iringa Gervas Ndaki (kulia), akisalimiana na washiriki wa mchezo wa pool kabla ya kuanza kwa mashindano hayo yaliyozaminiwa na Kampuni ya Bia Tanzania (TBL), kupitia bia yake ya Safari Lager.
Mchezaji Raphael John wa Chuo Kikuu cha Tumaini Iringa, akijitayarisha kupiga mpira wakati wa mashindano ya pool kwa Vyuo Vikuu Mkoa wa Iringa Leo.

No comments:
Post a Comment