TANGAZO


Saturday, May 12, 2012

Lowasa azungumza na wananchi wa Mto wa Mbu

Waziri Mkuu msataafu na Mbunge wa Monduli, Edward Lowassa akisikiliza swali kutoka kwa mwananchi mkazi wa Mto wa Mbu, mkoani Arusha, juu ya kero mbalimbali zinazowakabili, zikiwemo za kiusalama. Lowassa alifanya ziara hiyo jana na kuzungumza na wapiga kura wake.

Mbunge Edward Lowassa, akisikiliza majibu kwenda kwa wananchi yaliyokuwa yakitolewa na Mkuu wa Kituo cha Polisi Mto wa Mbu, Mrakibu wa Polisi (SP) Morris Okinda kwenye mkutano huo.

Lowassa Akihutubia wananchi katika Mkutano huo wa hadhara.

No comments:

Post a Comment