TANGAZO


Wednesday, May 23, 2012

DVD, Kitabu cha Sheria za Kazi vyazinduliwa jijini Dar es Salaam

 Wakili wa Kijitegemea, Paulo Kalomo, akizungumza na waandishi wa habari, Dar es Salaam leo, wakati alipokuwa akizindua DVD ya Sheria za Kazi nchini Tanzaniana na Kitabu cha 'Legal Procedures in Tanzania' (Taratibu za Kisheria nchini Tanzania). Kushoto ni Godfrey Maginga wa Kampuni ya Bussines Connection watoaji wa Kitabu na DVD hiyo. (Picha zote na Kassim Mbarouk)


 Wakili wa Kijitegemea, Paulo Kalomo, akikionesha kitabu hicho, wakati alipokuwa akikizindua leo, Idara ya Habari, Maelezo jijini Dar es Salaam. Kulia ni Meneja wa Biashara, Humphrey Mwamburi wa Kampuni ya Bussines Connection, watoaji wa Kitabu na DVD hiyo. 


 Baadhi ya waandishi wa habari waliokuwepo kwenye ukumbi wa Idara ya Habari, Maelezo jijini Dar es Salaam, wakifuatilia uzinduzi huo.


Wakili wa Kijitegemea, Paulo Kalomo, akikielezea kitabu cha 'Legal Procedures in Tanzania' (Taratibu za Kisheria nchini Tanzania), alichokitunga wakati akikizindua leo mbele ya waandishi wa habari, ukumbi wa Idara ya Habari, Maelezo jijini Dar es Salaam. Kulia ni Meneja wa Biashara, Humphrey Mwamburi wa Kampuni ya Bussines Connection, watoaji wa Kitabu na DVD hiyo. 

Wakili wa Kijitegemea, Paulo Kalomo, akiwaonesha waandishi wa habari,  DVD ya Sheria za Kazi nchini Tanzaniana, wakati akiizindua ukumbini humo leo. Kushoto ni Godfrey Maginga wa Kampuni ya Bussines Connection, watoaji wa Kitabu na DVD hiyo. 



Baadhi ya waandishi wa habari waliokuwepo kwenye ukumbi wa Idara ya Habari, Maelezo jijini Dar es Salaam, wakifuatilia na kurekodi habari za uzinduzi huo.

No comments:

Post a Comment