TANGAZO


Friday, May 18, 2012

Dk. Shein awaapisha Mkuu wa Wilaya, Naibu Katibu Mkuu, azungumza na uongozi wa Elimu Zanzibar

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Ali Mohamed Shein, akimuapisha  Mdungi Makame Mdungi kuwa Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Katiba na Sheria, hafla hiyo ya kiapo, ilifanyika Ikulu mjini Zanzibar leo.
 
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Ali Mohamed Shein, akimuapisha Khamis Jabir Makame, kuwa Mkuu wa Wilaya mpya wa Kaskazini B Unguja, katika hafla iliyofanyika Ikulu mjini Zanzibar leo.
 
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Ali Mohamed Shein, akizungumza na Uongozi wa Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Amali, katika utekelezaji wa mpango wa kazi za Wizara hiyo hukoIkulu Mjini Zanzibar leo. Kushoto ni Makamo wa Kwanza wa Rais, Maalim Seif Shariff Hamad.(Picha zote na Ramadhan Othman, Ikulu) 

No comments:

Post a Comment