Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,
Dk. Mohammed Gharib Bilal, akifunua pazia ili kuweka jiwe la msingi katika Jengo jipya la
machinjio, lililojengwa katika kijiji cha Ngelewala, mkoani Iringa, wakati
akimalizia ziara yake ya Mkoa huo jana, Februari 29, 2012. Kulia kwake ni
Mkuu wa Mkoa wa Iringa, C. Ishengoma. (Picha na Muhidin Sufiani-OMR)
Makamu wa Rais, Dk. Mohammed Gharib Bilal na mkewe mama Asha Bilal (kulia), wakisikiliza maelezo kutoka
kwa Ofisa Kilimo na Mifugo wa Manispaa ya Mafinga, Augustino Nyenza, wakati
akitoa maelezo kuhusu jengo jipya la machinjio lililojengwa katika kijiji cha
Ngelewela, mkoani Iringa, jana Februari 29, 2012. (Picha na Muhidin Sufiani-OMR)
Makamu wa Rais,
Dk. Mohammed Gharib Bilal, akiagana na baadhi ya wachungaji wa mkoani Iringa,
baada ya kumaliza majumuisho ya ziara yake katika Mkoa huo, jana Februari 29,
2012.
No comments:
Post a Comment