Katibu Mkuu, Ofisi ya Makamu wa Rais, Sazi Salula (kulia), akizungumza na Mwenyekiti wa Mkutano wa Tano wa Ziwa Tanganyika, Adam Hussein wakati wa ufunguzi wa mkutano huo, Hotel ya Lake Tanganyika, mkoani Kigoma leo Februari 26, 2012. (Picha na Ali Meja)
Katibu Mkuu, Ofisi ya Makamu wa Rais, Sazi Salula akifungua Mkutano wa Tano wa Wataalamu wa Mamlaka ya Ziwa Tanganyika, unaoshirikisha nchi nne za Tanzania, Zambia, Congo na Burund. Mkutano huo, unfanyika hotel ya Tanganyika, mkoani Kigoma.
Katibu Mkuu Ofisi ya Makamu wa Rais, Sazi Salula (katikati mwenye suti nyeusi, waliokaa), akiwa katika picha ya pamoja na wajumbe wa Mkutano wa Mamlaka ya Ziwa Tanganyika, unaofanyika katika Hotel ya Lake Tanganyika mkoani Kigoma.
No comments:
Post a Comment