Mkuu wa Wilaya ya Moshi Alhaji Mussa Samizi (kulia) akikabidhi zawadi ya Simu, fedha Tsh 80,000 na Mordem iliyo na kifurushi cha kuanzia 20,000/= kwa mshindi wa tatu upande wa wanawake Natalia Elisante, wa mbio za Vodacom Fun Run, Brazil Boay katika mashindano ya Kilimanjaro Marathon 2012, zilizofanyika leo, Februari 26, 2012, mjini Moshi. Katikati ni Mkuu wa Udhamini wa Vodacom, George Rwehumbiza. (Picha na mpigapicha wetu)
Mkuu wa Wilaya ya Moshi Alhaji Mussa Samizi (kulia) akikabidhi zawadi ya Simu, fedha Tsh 80,000 na Mordem iliyo na kifurushi cha kuanzia 20,000/= kwa mshindi wa pili wa mbio za Vodacom Fun Run, Brazil Boay katika mashindano ya Kilimanjaro Marathon 2012 zilizofanyika mjini Moshi. Katikati ni Mkuu wa Udhamini wa Vodacom, George Rwehumbiza.
Mkuu wa Wilaya ya Moshi Alhaji Mussa Samizi (kulia) akikabidhi zawadi ya Simu, fedha Tsh 100,000 na Mordem iliyo na kifurushi cha kuanzia 20,000/= kwa mshindi wa kwanza upande wa wanawake Jackline Sakilu, wa mbio za Vodacom Fun Run, Brazil Boay katika mashindano ya Kilimanjaro Marathon 2012.
Baadhi ya washindi wa Vodacom 5 km, fun run wakiwa kwenye picha ya pamoja na Kaimu Mkuu wa Kitengo cha Mahusiano Rukia Mtingwa (kulia) na kushoto ni
Afisa Udhamini wa Vodacom Tanzania Ibrahim Kaude.
Afisa Udhamini wa Vodacom Tanzania Ibrahim Kaude.
Ofisa Masoko Mkuu na Mahusiano, Mwamvita Makamba (kushoto), akishiriki katika mbio za kujifurahisha za”Vodacom 5 KM fun run”.
Mmoja wa washiriki ,walemavu aliyeshiriki katika mbio za kujifurahisha za “Vodacom 5 KM, fun run”akimaliza mbio hizo.
Baadhi ya washiriki wa mbio za kujifurahisha za”Vodacom 5 KM fun run”wakimaliza mbio zao nakujinyakulia zawadi mbalimbali.
No comments:
Post a Comment