TANGAZO


Tuesday, December 13, 2011

Wasaini makubaliano

Katibu Mkuu wa Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii, Blandina Nyoni (kushoto), na Mwakilishi Mkazi wa Shirika la Umoja wa Mataifa la Idadi ya Watu (UNFPA), Julitta Onabanjo, wakisaini mkataba wa makabidhiano hayo. (Picha na Kassim Mbarouk)

No comments:

Post a Comment