Katibu Mkuu wa Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii, Blandina Nyoni, akizungumza wakati wa hafla ya makabidhiano ya magari manne na vifaa kwa ajili ya afya ya mama na mtoto, yaliyotolewa na Mashirika ya Umoja wa Mataifa ya Idadi ya Watu (UNFPA) na la Afya (WHO), Ofisini kwake, Dar es Salaam leo mchana. Kulia ni Mwakilishi Mkazi wa UNFPA, Julitta Onabanjo. (Picha na Kassim Mbarouk)
No comments:
Post a Comment