TANGAZO


Thursday, December 8, 2011

Leo umwamba, umwamba tu

Mrisho Ngassa wa Kilimanjaro Stars (kushoto), akikimbilia mpira na Godfrey Walusimbi wa timu ya Taifa ya Uganda 'The Cranes', wakati timu hizo zilipokutana katika mchezo wa Nusu fainali za michuano ya CECAFA Challege Cup, Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam, leo jioni. Uganda ilishida kwa mabao 3 - 1, baada ya kumaliza dakita 90 zikiwa sare ya bao 1-1. (Picha na Kassim Mbarouk)

No comments:

Post a Comment