TANGAZO


Thursday, December 8, 2011

Balozi Mzale na Mustafa Hassanali

Mwanamitindo Mustafa Hassanali, akiwa na Balozi wa Tanzanian nchini Sweden, Mohamed Mzale pamoja na Maofisa wa Ubalozi, Jacob Msekwa na Yusuf Mdolwa na Hamis Omary, alipowasili nchini humo hivi karibuni kwa shughuli za kitamaduni. (Picha na Mustafa Hassanali and Company)

No comments:

Post a Comment