Waziri mkuu wa Israel Benjamin Netanyahu yuko mjini Paris kwa makumbusho wa waathiriwa wa kukamatwa kwa wayahudi wengi na utawala wa kinazi nchini Ufaransa mwaka 1942.
Zaidi ya wayahudi 13,000 walizingirwa na kufungiwa katika uwanja wa kuendesha baiskeli kabla ya kupelekwa kambi za mauti.
Bwana Netanyahu pia atafanya mazungumzo ya moja kwa moja ya kwanza na Rais wa Ufaransa Emmanuel Macron.
Kati ya wayahudi 13,000 walikamatwa na polisi wa Ufaransa tarehe 16 na 17 mwaka 1942. Karibu 4,000 walikuwa ni watoto.
- Duterte alinganisha vita vyake na vya Hitler
- Netanyahu ahojiwa kwa tuhuma za rushwa
- Trump akutana na Benjamin Netanyahu
- Netanyahu na Theresa May wazungumzia tisho la Iran
Familia hizo zilipelekwa katika uwanja wa Velodrome D'Hiver kjambi uliokuwa nje ya mji mkuu Drancy.
Kisha wakapelekwa kwa njia ya treni , kwenye kambi yenye msongamano ya Auschwitz. Chini ya watu 100 walinusurika.
No comments:
Post a Comment