Meneja wa Mfuko wa Taifa wa Bima
ya Afya (NHIF) Ally Mwakababu akizungumza wakati wa kikao cha pamoja
baina yao na watumishi wa Halmashauri ya wilaya ya Mkinga kuhusu umuhimu
wa kujiunga na Mfuko wa Afya ya Jamii (CHF) ili waweze kunufaika na
huduma zitolewazo.
Mkurugenzi wa Halmashauri ya
wilaya ya Mkinga,kushoto ni Meneja wa Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya
(NHIF)Ally Mwakababu kulia ni Mratibu wa CHF wilaya ya Mkinga, Rashid
Gembe.
Meneja wa Mfuko wa Taifa wa Bima
ya Afya Mkoani Tanga (NHIF) Ally Mwakababu kushoto akifuarahia jambo na
Mkurugenzi wa Halmashauri ya wilaya ya Mkinga, Rashid Gembe mara baada ya
kufungua kikao cha pamoja baina ya Mfuko huo na watumishi wa
Halmashauri hiyo kuhusu umuhimu wa kujiunga na mfuko huo ili kuweza
kunufaika na huduma zinazotolewa.
Daktari akiwapima baadhi ya
watumishi wa halmashauri huo.
Daktari akiwapima baadhi
ya watumishi wa halmashauri huo.
Afisa wa Mfuko wa Taifa wa Bima ya
Afya (NHIF) Juliana Mathias wa pili kulia akiwapima baadhi ya watumishi
wa Halmashauri hiyo uzito wakati wa uhamasishaji huo.
Baadhi ya watumishi wa
Halmashauri ya wilaya ya Mkinga wakifuatilia kikao hicho.
Baadhi ya watumishi wa
Halmashauri ya wilaya ya Mkinga wakifuatilia kikao hicho.(Habari kwa Hisani ya Blog ya Kijamii ya Tanga Raha)
No comments:
Post a Comment