Rais wa Gambia Adama Barrow amesema kuwa atarudi nchini Gambia wakati ECOWAS itakapoona ni salama kwa yeye kurudi.
Amesema kuwa atalipa kipao mbele swala la uchumi na ataanzisha tume ya haki na maridhiano ili kuchunguza ukiukaji wa haki za kibinaadamu.
''Kutokana na ukweli tutaweza kuridhiana na kusonga mbele'',alisema.
Alizungumza na mwandishi wa BBC Clarisse kutoka Dakar
No comments:
Post a Comment