Afisa wa Masuala ya Uchumi toka Shirika la Umoja wa
Mataifa linaloshughulikia masuala ya Biashara na
Maendeleo Bi. Claudia ROETHLISBERGER (kushoto),
akifafanua
jambo wakati wa uzinduzi wa Ripoti ya
UNCTAD ya mwaka 2016 kuhusu Maendeleo ya
Kiuchumi Barani Afrika. Kulia ni Afisa Habari wa Kituo cha Taarifa cha Umoja wa Mataifa Tanzania
(UNIC) Bi. Stella Vuzo.
Mtafiti wa Taasisi ya Utafiti na Kupunguza Umaskini
nchini (Repoa) Bw. Stephen Mwombela (katikati),
akichangia mada wakati wa uzinduzi wa Ripoti ya
UNCTAD ya mwaka 2016 kuhusu Maendeleo ya
Kiuchumi Barani Afrika mapema jana jijini Dar es
Salaam.
Mchumi wa Benki ya Maendeleo Afrika (AfDB) Bw.
Prosper Charle akichangia mada wakati wa uzinduzi
wa Ripoti ya UNCTAD ya mwaka 2016 kuhusu
Maendeleo ya Kiuchumi Barani Afrika mapema jana
jijini Dar es Salaam.
Baadhi ya washiriki wakifuatia kwa makini
uzinduzi wa Ripoti ya UNCTAD ya mwaka 2016 kuhusu
Maendeleo ya Kiuchumi Barani Afrika mapema jana
jijini Dar es Salaam.
Baadhi ya washiriki wakifuatia kwa makini uzinduzi wa
Ripoti ya UNCTAD ya mwaka 2016 kuhusu Maendeleo
ya Kiuchumi Barani Afrika mapema jana jijini Dar es Salaam.
Baadhi ya washiriki wakifuatia kwa makini uzinduzi wa
Ripoti ya UNCTAD ya mwaka 2016 kuhusu Maendeleo
ya Kiuchumi Barani Afrika mapema jana jijini Dar es Salaam.
|
No comments:
Post a Comment