Spika
wa Bunge la Afrika Mashariki, Mhe. Daniel Kidega akitoa ushauri juu ya
namna uchagiaji wa mada mbalimbali ili kuepusha malumbano yasiyo na
ulazima wakati wa siku ya ufungaji wa Semina ya siku mbili
iliyowakutanisha Wabunge kutoka Mabunge ya nchi za Afrika Mashariki
kujadili masuala mbalimbali ya uchaguzi, Semina hiyo imehitimishwa jana 4
Machi, 2016 Jijini Dar es Salaam. |
No comments:
Post a Comment