![]() |
Mkuu wa Wilaya ya Hai, Anthony Mtaka akisalimiana na wananchi alipofanya ziara katika Hosptali teule ya Machame na kuzungumza na wafanyakazi.
|
![]() |
Mkuu wa wilaya ya Hai, Anthony Mtaka akizungumza na wafanyakazi wa Hosptali teule ya Machame (hawapo pichani).
|
![]() |
Baadhi ya iongozi wa Hosptali hiyo na viongozi wa Serikali wa wilaya ya Hai.
|
![]() |
Wafanyakazi wa Hosptali teule ya Machame.
|
![]() |
Mkurugenzi wa Hosptali hiyo, Dkt Saitore Laizer akizungumza katika kikao hicho.
|
![]() |
Baadhi ya madktari wa hosptali teule ya Machame.
|
![]() |
Baadhi ya watumishi wa Hosptali hiyo.
|
![]() |
Mwenyekiti wa Chama cha Wafanyakazi katika Hosptali ya Machame, Dk Fredrick Muro akizungumza akizungumza katika kikao hicho.
|
![]() |
Baadhi ya wafanyakazi.
|














No comments:
Post a Comment