Mkuu wa mkoa wa Kilimanjaro, Amos Makala akizungumza nawanahabari pamoja na Waganga wakuu wa Wilaya za Mkoa wa Kilimanjaro juu ya tishio la ugonjwa hatari wa Kipindupindu.
|
Baadhi ya Waganga wakuu wa Wilaya za Mkoa wa Kilimanjaro pamoja na waandishi wa habari wakimsikiliza mkuu wa mkoa wa Kilimanjaro, Amos Makala (hayupo pichani).
|
Baadhi ya waandishi wa habari wakiuliza maswali mbele ya mkuu wa mkoa wa Kilimanjaro, Amosi Makala (hayupo pichani)
|
Mganga Mkuu wa mkoa wa Kilimanjaro,Hajati Dkt Mtumwa Mwako (kushoto ) akiandika mambo kadhaa ambayo yameibuliwa na waandishi wa habari katika mkutano huo.
|
Na Dixon Busagaga wa Globu ya Jamii kanda ya Kaskazini.
|
No comments:
Post a Comment