TANGAZO


Monday, November 9, 2015

Rais Magufuli afanya ziara ya ghafla Muhimbili

*Amjulia hali Helen Kijo-Bisimba
Rais Dkt. John Pombe Magufuli akimjulia hali Mkurugenzi wa kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC), Dkt. Helen Kijo Bisimba jijini Dar es Salaam leo, aliyelazwa katika Hospitali ya Aga Khan jijini baada ya kujeruhiwa katika ajali iliyotokea jana.
Rais Dkt. John Pombe Magufuli akimjulia hali Mkurugenzi wa kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC), Dkt. Helen Kijo Bisimba jijini Dar es Salaam leo, aliyelazwa katika Hospitali ya Aga Khan jijini baada ya kujeruhiwa katika ajali iliyotokea jana.
Rais Dkt. John Pombe Magufuli akiwajulia hali wagonjwa waliolazwa katika Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH), wakati alipofanya ziara ya kushtukiza hospitalini hap leo na kuwafariji wagonjwa.
Rais Dkt. John Pombe Magufuli, akiwapungia wananchi waliokuwepo kwenye Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH), alipofanya ziara ya ghafla leo.
Rais Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na baadhi wananchi waliomweleza shida zao mbalimbali wakati alipofanya ziara ya kushtukiza katika Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH) leo.
Rais Dkt. John Pombe Magufuli akiwajulia hali wagonjwa waliolazwa katika hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH), wakati alipofanya ziara ya kushtukiza hospitalini hap leo na kuwafariji wagonjwa.
Rais Dkt.john Pombe Magufuli akizungumza na kuwapa moyo wauguzi katika Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH), wakati alipofanya ziara ya ghafa kujionea hali halisi.
Rais Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na kuwapa moyo wauguzi katika Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH), wakati alipofanya ziara ya ghafa kujionea hali halisi. (Picha zote na Freddy Maro)

No comments:

Post a Comment