Usiku wa kuamkia leo, Southampton wakawabana pumzi Bournemouth kwa akuwapiga bao 2- 0.
Katika mechi hiyo Mkenya Victor Wanyama akatupwa nje kwa kadi nyekundu baada ya kumfanyia madhambi Lee Tomlin.
Baadaye leo jioni tutashuhudia mchezo kati ya Tottenham na Aston Villa.
No comments:
Post a Comment