Mgombea Ubunge wa Jimbo la Ubungo, Dk. Didas Masaburi aingia viwanja vya Jangwani kwa aina yake
Mgombea Ubunge wa Jimbo la Ubungo kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dk.Didas Masaburi akiwapungia mikono wapiga kura wa jimbo lake wakati alipoongoza msafara wa wana CCM wa jimbo hilo, kuelekea viwanja vya Jangwani, Dar es Salaam kumsikiliza mgombea urais wa chama hicho, Dk. John Magufuli jana. (Picha zote na Mpigapicha wetu)
Mgombea Ubunge wa Jimbo la Ubunge kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi, Dk. Didas Masaburi (katikati) akisalimiana na mgombea ubunge wa chama hicho, katika Jimbo la Sengerema, William Ngeleja. Kulia ni Mbunge wa Afrika Mashariki, Shyrose Bhanji, wakati wa mkutano wa uzinduzi wa kampeni za CCM Jangwani, Dar es Salaam jana.
Mgombea wa Ubunge katika Jimbo la Ubungo kwa tiketi ya CCM, Dk. Didas Masaburi (katikati)akiwaongoza wakazi wa Ubungo kwenda katika Viwanja vya Jangwani Dar es Salaam kushiriki uzinduzi wa kampeni za CCM jana.
Gari maalum la kampeni za mgombe Ubunge wa Jimbo la Ubungo jijini Dar es Salaam kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dk. Didas Masaburi likipita eneo la Manzese kuhamasisha wananchi kushiriki mkutano wa uzinduzi wa kampeni za CCM, Jangwani jana.
No comments:
Post a Comment