TANGAZO


Monday, August 24, 2015

Mgombea Urais wa Tanzania kupitia CCM, John Magufuli atambulishwa Mpanda mkoani Katavi leo

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akimtambulisha Mgombea urais wa Tanzania kupitia CCM, John Magufuli wakati wa mkutano wa kampeni  katika Uwanja wa  Azimio mjini mjini Mpanda, mkoani Katavi leo. 
Mgombea urais wa Tanzania kupitia CCM, John Magufuli  akihutubia wakati wa mkutano wa kampeni  katika Uwanja wa  Azimio mjini mjini Mpanda, mkoani Katavi leo. 
Wananchi wakishangilia wakati Mgombea urais wa Tanzania kupitia CCM, John Magufuli  akihutubia wakati wa mkutano wa kampeni  katika Uwanja wa  Azimio mjini mjini Mpanda, mkoani Katavi leo. 
Sehemu ya umati wa wananchi  wakiwa katika mkutano wa kampeni wa Mgombea urais wa Tanzania kupitia CCM, John Magufuli (kulia)  akihutubia wakati wa mkutano wa kampeni  katika Uwanja wa  Azimio mjini mjini Mpanda, mkoani Katavi leo 
Sehemu ya umati wa wananchi  wakiwa katika mkutano wa kampeni wa Mgombea urais wa Tanzania kupitia CCM, John Magufuli   akihutubia wakati wa mkutano wa kampeni  katika Uwanja wa  Azimio mjini mjini Mpanda, mkoani Katavi leo. 

No comments:

Post a Comment