TANGAZO


Thursday, June 4, 2015

Watia Nia wa CCM, waendelea kuchukua fomu za kuomba kuteuliwa na Chama kwa nafasi ya Urais mjini Dodoma leo

Waziri Mkuu mstaafu, Fredrick Sumaye akiweka kwenye begi, fomu za kuomba kuteuliwa na Chama chake Cha Mapinduzi (CCM) kwa nafasi ya Urais alizokabidhiwa na Katibu wa NEC, Dk. Mohamed Seif Khatib (kulia), mjini Dodoma leo. Kushoto ni mkewe, Esta Sumaye. 
Waziri Mkuu mstaafu, Fredrick Sumaye akizionesha fomu za kuomba kuteuliwa na Chama chake Cha Mapinduzi (CCM) kwa nafasi ya Urais alizokabidhiwa na Katibu wa NEC, Dk. Mohamed Seif Khatib, leo mjini Dodoma.
Waziri Mkuu mstaafu, Fredrick Sumaye akizungumza na waandishi wa habari, mara baada ya kukabidhiwa fomu za kuomba kuteuliwa na Chama chake cha CCM kwa nafasi ya Urais, mjini Dodoma leo. Kulia ni mkewe, Esta Sumaye.  
Makamu wa Rais Dk. Mohamed Gharib Bilal akikabidhiwa fomu za kuomba kuteuliwa na Chama chake Cha Mapinduzi (CCM) kwa nafasi ya Urais na Katibu wa NEC, Dk. Mohamed Seif Khatib (kushoto), mjini Dodoma leo.
Makamu wa Rais Dk. Mohamed Gharib Bilal, akizionesha fomu za kuomba kuteuliwa na Chama chake Cha Mapinduzi (CCM) kwa nafasi ya Urais alizokabidhiwa na Katibu wa NEC, Dk. Mohamed  Seif Khatib, leo mjini Dodoma. 
Makamu wa Rais Dk. Mohamed Gharib Bilal akipongezwa na baadhi ya wananchi mara baada ya kabidhiwa fomu za kuomba kuteuliwa na Chama chake Cha Mapinduzi (CCM) kwa nafasi ya Urais na Katibu wa NEC, Dk. Mohamed Seif Khatib, mjini Dodoma leo.
Mtoto wa Rais wa Kwanza wa Zanzibar, Abeid Amani Karume, Balozi Ali Karume, akikabidhiwa fomu za kuomba kuteuliwa na Chama chake Cha Mapinduzi (CCM) kwa nafasi ya Urais na Katibu wa NEC, Dk. Mohamed  Seif Khatib (kushoto), mjini Dodoma leo. 
Mtoto wa Rais wa Kwanza wa Zanzibar, Abeid Amani Karume, Balozi Ali Karume, akiweka saini kwenye kitabu cha kutolea fomu za kuomba kuteuliwa na Chama chake Cha Mapinduzi (CCM) kwa nafasi ya Urais, wakati alipokuwa akichukua fomu hizo leo, mjini Dodoma.
Mtoto wa Rais wa Kwanza wa Zanzibar, Abeid Amani Karume, Balozi Ali Karume, akizionesha fomu za kuomba kuteuliwa na Chama chake Cha Mapinduzi (CCM) kwa nafasi ya Urais alizokabidhiwa na Katibu wa NEC, Dk. Mohamed Seif Khatib,leo mjini Dodoma.
Waziri Mkuu mstaafu, Edward Lowassa, akizionesha fomu za kuomba kuteuliwa na Chama chake Cha Mapinduzi (CCM) kwa nafasi ya Urais alizokabidhiwa na Katibu wa NEC, Dk. Mohamed Seif Khatib, leo mjini Dodoma. 
Waziri Mkuu mstaafu, Edward Lowassa, akiwapungia wananchi mara baada ya kabidhiwa fomu za kuomba kuteuliwa na Chama chake Cha Mapinduzi (CCM) kwa nafasi ya Urais na Katibu wa NEC, Dk. Mohamed Seif Khatib, mjini Dodoma leo. 
Waziri Mkuu mstaafu, Edward Lowassa, akikabidhiwa fomu za kuomba kuteuliwa na Chama chake Cha Mapinduzi (CCM) kwa nafasi ya Urais na Katibu wa NEC, Dk. Mohamed Seif Khatib (kushoto), mjini Dodoma leo. Kulia ni mkewe, Regina Lowassa. (Picha zote na John Banda, Dodoma)

No comments:

Post a Comment