Kaimu Mkuu wa Polisi toka wilaya ya kipolisi ya Chang'ombe Mrakibu wa Polisi Lukas Mgaya akielezea jinsi Jeshi la Polisi lilivyojiandaa kuimarisha ulinzi wakati wa Maonesho ya 39 ya Biashara ya Kimataifa ya Dar es Salaam yanayotarajiwa kuanza tarehe 28 Juni hadi 8 Julai, 2015.
Baadhi ya washiriki wa semina wakimsikiliza kwa makini Mrakibu wa Polisi Lukas Mgaya, wakati akielezea jinsi Jeshi la Polisi lilivyojiandaa kuimarisha ulinzi wakati wa Maonesho ya 39 ya Biashara ya Kimataifa ya Dar es Salaam yanayotarajiwa kuanza tarehe 28 Juni hadi 8 Julai, 2015.
Mafundi ujenzi wakiendelea na shughuli za ukarabati wa mabanda ya Maonesho ya 39 ya Biashara ya Kimataifa ya Dar es Salaam yanayotarajiwa kuanza tarehe 28 Juni hadi 8 Julai, 2015.

Mafundi ujenzi wakiendelea na shughuli za ukarabati wa mabanda ya Maonesho ya 39 ya Biashara ya Kimataifa ya Dar es Salaam yanayotarajiwa kuanza tarehe 28 Juni hadi 8 Julai, 2015. (Picha zote na Pius Yalula- Maelezo)

No comments:
Post a Comment