Wakazi wa Wilaya ya Uvinza Mkoani Kigoma wakimsikiliza kwa makini Meneja Biashara Idara ya Uhusiano wa Vodacom Tanzania, Grace Lyon (wapili kutoka kushoto ) alipokuwa akiwafafanulia jambo wakina baba hao kuhusiana na kampeni inayoendelea katika mikoa mitatu nchini ya kuelimisha wakina baba na wanchi kwa ujumla kuwaruhusu wakina mama wajitokeze ili wakatibiwe maradhi fistula kwani yanatibika, Inakadiriwa ni wastani ya wanawake 3,000 hupatwa na maradhi hayo wanapojifungua. Kampeni hiyo inaendeshwa na CCBRT na Vodacom Foundation.
Meneja Mawasiliano wa Hospitali ya CCBRT Abdul Kajumul, akiwaelezea wakazi wa kata ya Nguruka Wilaya ya Uvinza Kigoma waliofika kwenye mkutano na kupatiwa elimu kuhusiana na kampeni inayoendelea katika mikoa mitatu nchini ya kuelimisha wakina baba na wanchi kwa ujumla kuwaruhusu wakina mama wajitokeze ili wakatibiwe maradhi ya fistula bure katika hospitali ya CCBRT kwani yanatibika, Inakadiriwa ni wastani ya wanawake 3,000 hupatwa na maradhi hayo wanapojifungua.Kampeni hiyo inaendeshwa na CCBRT na Vodacom Foundation.
Msanii wa nyimbo za kiasili na Balozi wa maradhi ya Fistula Mrisho Mpoto akitoa elimu kwa wakazi wa Kata ya Nguruka wilayani Uvinza Kigoma, kuhusiana na kampeni inayoendelea katika mikoa mitatu nchini ya kuelimisha wakina baba na wanchi kwa ujumla kuwaruhusu wakina mama wajitokeze ili wakatibiwe maradhi ya fistula bure katika hospitali ya CCBRT kwani yanatibika, Inakadiriwa ni wastani ya wanawake 3,000 hupatwa na maradhi hayo wanapojifungua. Kampeni hiyo inaendeshwa na CCBRT na Vodacom Foundation.
No comments:
Post a Comment