Baadhi ya wajumbe wakimfuatilia kwa makini Mh. Saada Mkuya (hayupo pichani) wakati wa kongamano la siku mbili kwa wadau mbalimbali katika sekta ya fedha iliyofanyika jijini Dar es Salaam mapema hii leo iliyohusu matokeo makubwa sasa.
Waziri wa Fedha Mh. Saada Mkuya akiwaelezea wajumbe wa kongamano la Matokeo makubwa sasa katika suala la Uchumi Afrika (hawapo pichani) katika kongamano la siku mbili kwa wadau mbalimbali katika sekta ya fedha iliyofanyika jijini Dar es Salaam mapema hii leo iliyohusu matokeo makubwa sasa.
Waziri wa Fedha Mh. Saada Mkuya akizungumza jambo na Ofisa Mkuu wa Benki ya Maendeleo ya Afrika (ADB) Dkt. Babu Ram, wakati wa uzinduzi wa semina hiyo, jijini Dar es Salaam mapema hii leo iliyohusu matokeo makubwa sasa.
Waziri wa
Fedha Mh. Saada Mkuya akizungumza na wajumbe waliohudhuria kongamano la siku
mbili kwa wadau mbalimbali katika sekta
ya fedha iliyofanyika jijini Dar es Salaam mapema hii leo iliyohusu matokeo
makubwa sasa.
No comments:
Post a Comment