Rais Jakaya Mrisho Kikwete akipokea tuzo maalumu kutoka kwa Gratian Mukoba, Rais wa Shirikisho la Vyama vya Wafanyakazi Tanzania (TUCTA), wakati wa kilele cha maadhimisho ya Siku ya Wafanyakazi Duniani 'Mei Dei', Uwanja wa CCM Kirumbna, jijini Mwanza leo Mei 1, 2015.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akikumbatiana na Gratian Mukoba, Rais wa Shirikisho la Vyama vya Wafanyakazi Tanzania (TUCTA), mara baada ya kupokea tuzo maalumu, wakati wa kilele cha Mei Mosi Uwanja wa CCM Kirumbna jijini Mwanza leo Mei 1, 2015. (Picha zote na Ikulu)
No comments:
Post a Comment