TANGAZO

Friday, May 1, 2015

Mkuu wa Mkoa Saidi Sadiki awa mgeni rasmi maadhimisho ya Siku ya Wafanyakazi Duniani jijini Dar es Salaam

Wafanyakazi wa Shirika la Posta Tanzania (TPC), wakipita mbele ya mgeni rasmi Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Saidi Sadiki, wakati wa maadhimisho ya Siku ya Wafanyakazi Duniani 'Mei Dei' jijini leo. (Picha zote na Kassim Mbarouk-www.bayana.blogspot.com)
Wafanyakazi wa Shirika la Posta Tanzania (TPC), wakipita mbele ya mgeni rasmi Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Saidi Sadiki, wakati wa maadhimisho ya Siku ya Wafanyakazi Duniani 'Mei Dei' jijini leo.  
Wafanyakazi wa Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, wakipita mbele ya mgeni rasmi Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Saidi Sadiki, wakati wa maadhimisho ya Siku ya Wafanyakazi Duniani 'Mei Dei' jijini leo.  

Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Saidi Sadiki akipunga mkono wakati akiyapokea maandamano ya wafanyakazi wa Taasisi, Mashirika  mbalimbali ya umma na binafsi, katika maadhimisho ya Siku ya Wafanyakazi, Mei Dei, Uwanja wa Uhuru jijini leo. Kushoto ni Mwenyekiti wa Shirikisho la Wafanyakazi Mkoa (TUCTA) na Mwenyekiti wa Chama cha Wafanyakazi wa Afya na Elimu ya Juu (TUGHE) mkoa, Hassan Kaumo na kulia ni Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mkoa, Ramadhan Madabida. 

Juu na chini: Wafanyakazi wa Mashirika la Taasisi mbalimbali za Umma na Binafsi wakipita mbele ya mgeni rasmi Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Saidi Sadiki, wakati wa maadhimisho ya Siku ya Wafanyakazi Duniani 'Mei Dei' jijini leo.  
Wafanyakazi wa Shirika la Posta Tanzania (TPC), wakipita mbele ya mgeni rasmi Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Saidi Sadiki, wakati wa maadhimisho ya Siku ya Wafanyakazi Duniani 'Mei Dei' jijini leo. 
Wafanyakazi wa Shirika la Posta Tanzania (TPC), wakipita mbele ya mgeni rasmi Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Saidi Sadiki, wakati wa maadhimisho ya Siku ya Wafanyakazi Duniani 'Mei Dei' jijini leo.  
Wafanyakazi wa mashirika la Taasisi mbalimbali wakiwa kwenye jukwaa kuu wakati wa maadhimisho ya Siku ya Wafanyakazi Duniani 'Mei Dei' jijini leo. 
Wafanyakazi wa Ofisi ya Taifa ya Ukaguzi wa Hesabu za Serikali, wakipita mbele ya mgeni rasmi Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Saidi Sadiki, wakati wa maadhimisho ya Siku ya Wafanyakazi Duniani 'Mei Dei' jijini leo. 
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Saidi Sadiki (katikati), akiimba wimbo wa mshikamano (Solidarity) pamoja na viongozi wa vyama vya Wafanyakazi wa Mkoa, wakati alipokuwa mgeni rasmi katika maadhimisho ya Siku ya Wafanyakazi, Mei Dei, Uwanja wa Uhuru jijini leo. 
Wafanyakazi wakiimba wimbo wao wa mshikamano, wakati wa maadhimisho ya Siku ya Wafanyakazi Duniani 'Mei Dei' jijini leo.  

Wafanyakazi wa Mashirika la Taasisi mbalimbali wakimsikiliza mgeni rasmi, Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, alipokuwa akiwahutubia wakati wa maadhimisho ya Siku ya Wafanyakazi Duniani 'Mei Dei' jijini leo. 
Mgeni rasmi katika maadhimisho ya Siku ya Wafanyakazi 'Mei Dei', Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Saidi Sadiki, akiwahutubia wafanyakazi wakati wa maadhimisho hayo. 

Wakuu wa Wilaya wa Temeke, Sophia Mjema na Raymond Mushi wakiteta jambo wakati wa maadhimisho hayo leo. 
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Saidi Sadiki akimkabidhi cheti pamoja na hundi ya sh. 500,000 mmoja wa wafanyakazi Bora.

Wafanyakazi Bora juu na chini, wakitunukiwa vyeti pamoja na zawadi za fedha na vifaa mbalimbali vya ujenzi.

Wafanyakazi Bora wa Manispaa ya Ilala, upande wa Elimu ya Msingi akikabidhiwa mabati pamoja na zawadi nyingine na Mgeni rasmi Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Saidi Sadiki.

No comments:

Post a Comment