Meneja wa Mfuko wa Pensheni wa LAPF Kanda ya Mashariki, Yessaya
Mwakifulefule akimkabidhi Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Ruangwa,
Nicholous Kombe, mfano wa hundi yenye
thamani ya shilingi millioni 100 ikiwa ni mkopo uliotolewa na mfuko huo kwa
wanachama wa SACCOS ya waalimu wilayani Ruangwa..Hafla hiyo ilifanyika
Wiyani Ruangwa hivi karibuni.
Wanachama
wa Walimu Saccos wa Wilaya ya Ruangwa mkoani
Lindi wakifurahia mkopo wenye thamani
ya shilingi Milioni 100 uliotolewa na Mfuko wa Pensheni wa LAPF kwa wanachama
wa Saccos hiyo. Anaeshuhudia wa pili kulia ni Meneja wa LAPF, Kanda ya Mashariki,
Yessaya Mwakifulefule. Hafla hiyo ya makabidhiano ilifanyika Wilayani Ruangwa hivi
karibuni.
(Imeandaliwa na mtandao Dotto Mwaibale)
No comments:
Post a Comment